freelancer2302
Member
- May 29, 2014
- 83
- 23
Hapo mtu ni kama unanua kiwaja. Mia hachukui?
Pia kuna nyumba 3 bedrooms,Chanika jirani na kituo cha police/uwanja Wa Shule bei 80M
Wabongo bana. Gofu kwasababu haina madirisha ya aluminium mliozoea na yale mabati ya rangi?Sema unauza kiwanja. Hiyo sio nyumba ni gofu
Ilo gofu mjomba apo aboe achukue gofu lake afu aseme bei ya kiwanjaWabongo bana. Gofu kwasababu haina madirisha ya aluminium mliozoea na yale mabati ya rangi?
Hilo gofu ni imara kuliko nyumba zenu mnazojenga sasa hivi za matofali ya 900/-Ilo gofu mjomba apo aboe achukue gofu lake afu aseme bei ya kiwanja
Ni kweli. Magofu ya zamani mi imara sana. Ila sasa ni magofuHilo gofu ni imara kuliko nyumba zenu mnazojenga sasa hivi za matofali ya 900/-
Recipts za TRA zipo?Nyumba ya vyumba vinne inauzwa maeneo ya kujitonyama , eneo lina 1000mita za mraba. Ila nyumba imechukua mita za mraba 600. Mazingira ni mazuri pia iko karibu na Mesuma hotel. Ina vyumba vitano na vyoo na bafu viwili. Pia ina store ya nje. Vilevile nyumba hii ina parking capacity ya magari zaidi ya manne. Ina garden ya majani nzuri. Iko fenced na vilevile ina hati miliki. Bei ni 250M. View attachment 425732View attachment 425733View attachment 425734View attachment 425734View attachment 425734View attachment 425735View attachment 425736
Hakuna nyumba hapo ya 250M,nyumba paa liko chini sana,labda ununue uvunje,so unakua unanunua kiwanja,na kiwanja kwa 250M kwa kijitonyama hailipiNyumba ya vyumba vinne inauzwa maeneo ya kujitonyama , eneo lina 1000mita za mraba. Ila nyumba imechukua mita za mraba 600. Mazingira ni mazuri pia iko karibu na Mesuma hotel. Ina vyumba vitano na vyoo na bafu viwili. Pia ina store ya nje. Vilevile nyumba hii ina parking capacity ya magari zaidi ya manne. Ina garden ya majani nzuri. Iko fenced na vilevile ina hati miliki. Bei ni 250M. View attachment 425732View attachment 425733View attachment 425734View attachment 425734View attachment 425734View attachment 425735View attachment 425736
Kwan bad guys wanasemaga ??Hii nyumba you need to trust us....ina hati na we are not bad guys. Hatuwezi kuwaweka kwenye trap. We can insure that in front of the court kama anything happen to you we are going to refund.
....mwenye 250M hawezi waza kimaskini namna hii!Hapo ikinyesha utajuta
Umeandika kweli tupu aisee kwa Dar yote yanawezekana tena na kuchonga hadi hati. Wanunuzi kuweni makini.kuweni makini sana na izi nyumba za kununua kwa wakati huu wengiwao zinakua na mkopo zaidi ya benk moja nyingine nyingi zinakesi na kama mjuavyo kesi za ardhi kudumu kwa miaka 3, 4.ni mambo ya kawaida hapo unatumia mawakili kwa gharama kubwa na usumbufu sana
kwa upande mwingine zinakuwa za urithi hapo utaangaika nazo mpaka ukome
sasa usiombe ukakutana na wazew wa mjini utakuta nyumba kaachiwa mlinzi wao wanakwenda tengeneza hati kama vile mwenye nyumba kafa na taratibu zote wanapitia na jina la hati linakua lao baada ya miaka miwili mitatu anatokea mwenye nyumba aliyesemekana kafa wakati huo waliokuuzia hutawaona tena