MkamaShapu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 317
- 169
Nakuona Mkuu kwa mbaliLuhanga sehemu gani? Nyuma ya shule kule kwa kina Paul huku mwakaleli karibu na vilabu?
Kama jengo halina thamani lakini eneo lina hiyo thamani toa tu hiyo helaHapo unauza eneo siyo nyumba, hilo jengo halina thamani ya hiyo pesa uliyoitaja
Nakuonaaaaa,vipi ulimaliza???Nakuona Mkuu kwa mbali
Mkuu acha utani nime zoom mpaka mwisho naona ukuta tu[emoji12]Ipo maeneo ya luhanga mkabala na shule ya kawawa.....
Eneo lifaa kwa ujenzi wa guest house, bar ,lodge au nyumba kubwa zaidi ya kupangisha!!!!!
Ni nyumba yenye eneo kubwa!!!! Na gari linafika mpaka mlangoni.....
Bei ni mill 75
Maongezi yapo.....
Namba ya simu....0717 767875
View attachment 826100
Huwezi kapata hiyo hela mkuuKama jengo halina thamani lakini eneo lina hiyo thamani toa tu hiyo hela