House4Sale Nyumba inauzwa maeneo ya luhanga.....

House4Sale Nyumba inauzwa maeneo ya luhanga.....

MkamaShapu

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
317
Reaction score
169
Ipo maeneo ya luhanga mkabala na shule ya kawawa.....

Eneo lifaa kwa ujenzi wa guest house, bar ,lodge au nyumba kubwa zaidi ya kupangisha!!!!!

Ni nyumba yenye eneo kubwa!!!! Na gari linafika mpaka mlangoni.....

Bei ni mill 75

Maongezi yapo.....

Namba ya simu....0717 767875

IMG_2328.JPG
 
Hapo unauza eneo siyo nyumba, hilo jengo halina thamani ya hiyo pesa uliyoitaja
 
Hizo bei zako mbona za kujengea kiwanda mkuu?
 
Luhanga sehemu gani? Nyuma ya shule kule kwa kina Paul huku mwakaleli karibu na vilabu?
 
Hapo unauza eneo siyo nyumba, hilo jengo halina thamani ya hiyo pesa uliyoitaja
Kama jengo halina thamani lakini eneo lina hiyo thamani toa tu hiyo hela
 
Ipo maeneo ya luhanga mkabala na shule ya kawawa.....

Eneo lifaa kwa ujenzi wa guest house, bar ,lodge au nyumba kubwa zaidi ya kupangisha!!!!!

Ni nyumba yenye eneo kubwa!!!! Na gari linafika mpaka mlangoni.....

Bei ni mill 75

Maongezi yapo.....

Namba ya simu....0717 767875

View attachment 826100
Mkuu acha utani nime zoom mpaka mwisho naona ukuta tu[emoji12]
 
Back
Top Bottom