chofachogenda
Senior Member
- Oct 6, 2016
- 107
- 199
Nyumba inauzwa (lakini ni muhimu zaidi ukiwa unanunua kama kiwanja ukubwa wa eneo 20 kwa 25 sqr 450. Umbali kutoka manzese tiptop stand ni km 1. Kwa unayeijua Manzese hii sehemu ni potential kibiashara gari linafika mpaka sehemu husika ni kuna barabara ya mtaaa hata nyumba ya makazi .Bei ya hiyo nyumba ni mil 27. Kwa mawasiliano zaidi piga 0716694624