Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi hakuna vigodoro Kama kipindi Cha mzee wa msoga.Wengi mnaibeza hii mitaa lakini ndio mitaa ya kuishi awamu hii ya tano. Unauza ice cream , miguu ya kuku, utumbo, ubuyu, cd za kutafsiriwa , unakodisha maturubai " maana vigodoro ndio mahali pake"
Unapika cake safi kabisa za birthday za bei rahisi kabisa
Yaani uswaz ndio mambo yote . BTW naishi Temeke . Najua nachoongea namaanisha. Nazichanga uswaz balaa
Siku hizi hakuna vigodoro Kama kipindi Cha mzee wa msoga.
Watu tulijiajiri kukodisha na kupigisha mziki tulipiga Sana hela dah
Wapi huko mkuu?Huku kwetu bado vipo sana tu mkuu yaani kama hivi karibia na mfungo watu wanafunga ndoa balaa[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Makabidhiano kati ya nani na naniMkuu hii nyumba document iliyonayo ni mkataba wa makabidhiano iliofanyika mahakamani.
Hahaaa...Kununua nyumba manzese bora niwe bila nyumba
Hizo ni faida za uswazi kipindi cha mchana,tupe faida za kipind cha ucku. Mi naanza na hii ya kupigwa kabali vichochoroni na kutobolewa madirisha na vibaka wa uckuWengi mnaibeza hii mitaa lakini ndio mitaa ya kuishi awamu hii ya tano. Unauza ice cream , miguu ya kuku, utumbo, ubuyu, cd za kutafsiriwa , unakodisha maturubai " maana vigodoro ndio mahali pake"
Unapika cake safi kabisa za birthday za bei rahisi kabisa
Yaani uswaz ndio mambo yote . BTW naishi Temeke . Najua nachoongea namaanisha. Nazichanga uswaz balaa
Umesahau mafurikoHizo ni faida za uswazi kipindi cha mchana,tupe faida za kipind cha ucku. Mi naanza na hii ya kupigwa kabali vichochoroni na kutobolewa madirisha na vibaka wa ucku
Bomoa bomoa inapita na watu wamelipwa fidia baadhi na wengine wanasubiri bado,, nyumba yangu haipo barabaraniHiyo mitaa naijua, kuna Bomoa bomoa inapita ili hiyo barabara ya Urafiki - Sinza Darajani ipanuliwe,
Embu niambie usalama ukoje hapo