House4Sale Nyumba inauzwa Manzese uzuri

House4Sale Nyumba inauzwa Manzese uzuri

Wengi mnaibeza hii mitaa lakini ndio mitaa ya kuishi awamu hii ya tano. Unauza ice cream , miguu ya kuku, utumbo, ubuyu, cd za kutafsiriwa , unakodisha maturubai " maana vigodoro ndio mahali pake"
Unapika cake safi kabisa za birthday za bei rahisi kabisa

Yaani uswaz ndio mambo yote . BTW naishi Temeke . Najua nachoongea namaanisha. Nazichanga uswaz balaa
Nimekupenda.
 
Hizo ni faida za uswazi kipindi cha mchana,tupe faida za kipind cha ucku. Mi naanza na hii ya kupigwa kabali vichochoroni na kutobolewa madirisha na vibaka wa ucku

Ukiishi vizuri na wana hupigwi kabali wala kutobolewa dirisha [emoji12][emoji12][emoji12]
 
Bomoa bomoa inapita na watu wamelipwa fidia baadhi na wengine wanasubiri bado,, nyumba yangu haipo barabarani
Oh,
Huo umbali wa mita 10 uliosema una nini hasa?
Ni nyumba ya mtu mwengine, open space au?
 
Back
Top Bottom