House4Sale Nyumba inauzwa Mbeya mjini karibu na stand ya Nanenane

House4Sale Nyumba inauzwa Mbeya mjini karibu na stand ya Nanenane

Ghost.js

Senior Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
158
Reaction score
327
Nyumba inauzwa Mbeya mjini,

Karibu na stand kuu ya Nanenane, nyuma ya hotel ya PM luxury hotel, kwenye eneo kuna nyumbaa kubwa moja, nyumba ya vyumba vitatu na nyumba ya vyumba viwili na parking kubwa, inauzwa kwa million 100, kiwanja no 812 mteja serious piga 0744757738.


IMG-20211227-WA0001.jpg
 
Mkuu hapo umeweka gate sio nyumba!
Na gate hali worth hicho kiasi.
Hebu weka picha za nyumba tuthaminishe,
100+ kwa Mbeya ni nyumba ya maaana ujue.
Unapajua nane nane stand?
 
Kajifunze kuandika kwanza, mteja...alafu ukiama kwa shemeji yako aliemuoa dada ako ndo utakuwa serious
Utakua tapeli wewe nini kimekushinda kutimiza takwa la mchangiaji?
 
Mkuu hapo umeweka gate sio nyumba!
Na gate hali worth hicho kiasi.
Hebu weka picha za nyumba tuthaminishe,
100+ kwa Mbeya ni nyumba ya maaana ujue.
Ni kweli, Mbeya nyumba nzuri zinauzwa 50-60m. Hiyo ya 100m lazima iwe nzuri zaidi. Halafu siku hizi watu wakinunua nyumba wanaipiga chini na kujenga nyingine aipendayo.
 
Umeweka biashara mtandaoni weka picha mtu ashawishike,
Nje ya hapo tangazo ungeliweka kwenye nguzo huko igawilo, uyole, sahi, ilomba , mama john,soweto, mwanjelwa, iwambi.n.k
Bila kusahau Nsalaga!
 
Back
Top Bottom