Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Yaani chumba kimoja ndio iwe milioni 100 kweli!,mbona rahisi sana utapata faida kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio shida ya nyumba za uswahilini.Naijua PM luxury hotel iko kando ya ile barabara inaenda Isyesye ila sasa nyuma ya ile hotel kuna nyumba hakuna mitaa sijui unaingilia wapi.Unapajua nane nane stand?
Na ujenz wenyewe wa mbeya hahahaa nyumba 100m?Ni kweli, Mbeya nyumba nzuri zinauzwa 50-60m. Hiyo ya 100m lazima iwe nzuri zaidi. Halafu siku hizi watu wakinunua nyumba wanaipiga chini na kujenga nyingine aipendayo.