Unapajua nane nane stand?Mkuu hapo umeweka gate sio nyumba!
Na gate hali worth hicho kiasi.
Hebu weka picha za nyumba tuthaminishe,
100+ kwa Mbeya ni nyumba ya maaana ujue.
weka picha za nyumba acha porojo wateja serioua tupo.Unapajua nane nane stand?
nakazia!weka picha za nyumba acha porojo wateja serioua tupo.
Kajifunze kuandika kwanza, mteja...alafu ukiama kwa shemeji yako aliemuoa dada ako ndo utakuwa seriousweka picha za nyumba acha porojo wateja serioua tupo.
Utakua tapeli wewe nini kimekushinda kutimiza takwa la mchangiaji?Kajifunze kuandika kwanza, mteja...alafu ukiama kwa shemeji yako aliemuoa dada ako ndo utakuwa serious
Ungeandika geti jeusi nakipande cha ukuta vinauzwa milioni 100Nyumba inauzwa Mbeya mjini, karibu na stand kuu ya Nanenane, nyuma ya hotel ya PM luxury hotel, kwenye eneo kuna nyumbaa kubwa moja, nyumba ya vyumba vitatu na nyumba ya vyumba viwili na parking kubwa, inauzwa kwa million 100, kiwanja no 812 mteja serious piga 0744757738View attachment 2059736View attachment 2059737View attachment 2059738View attachment 2059739
Kaka umebubuna cha MalawiUnapajua nane nane stand?
Umeweka biashara mtandaoni weka picha mtu ashawishike,Unapajua nane nane stand?
Pana nini sasa pale cha ajabu 🤣🤣🤣 maana inaonekana hiyo stand ndio kigezo chako kikubwa cha kuuza 100 M...Unapajua nane nane stand?
Hauna tofauti na wale wanasema " Unanijua mimi?"🤣🤣🤣 #KataaWahuniUnapajua nane nane stand?
Ni kweli, Mbeya nyumba nzuri zinauzwa 50-60m. Hiyo ya 100m lazima iwe nzuri zaidi. Halafu siku hizi watu wakinunua nyumba wanaipiga chini na kujenga nyingine aipendayo.Mkuu hapo umeweka gate sio nyumba!
Na gate hali worth hicho kiasi.
Hebu weka picha za nyumba tuthaminishe,
100+ kwa Mbeya ni nyumba ya maaana ujue.
Ha ha ha nimekupata Mzee wa kwa Mama John!Ungeandika geti jeusi nakipande cha ukuta vinauzwa milioni 100
Kitakuwa cha Igoma au Kimondo!Kaka umebubuna cha Malawi
Bila kusahau Nsalaga!Umeweka biashara mtandaoni weka picha mtu ashawishike,
Nje ya hapo tangazo ungeliweka kwenye nguzo huko igawilo, uyole, sahi, ilomba , mama john,soweto, mwanjelwa, iwambi.n.k
we ni muhuni tuu unastress za mapenziKajifunze kuandika kwanza, mteja...alafu ukiama kwa shemeji yako aliemuoa dada ako ndo utakuwa serious