Ndio shida ya nyumba za uswahilini.Naijua PM luxury hotel iko kando ya ile barabara inaenda Isyesye ila sasa nyuma ya ile hotel kuna nyumba hakuna mitaa sijui unaingilia wapi.
Kama ni pale ilipo hotel kuna njia ya mtaa ya vumbi sasa sijui ndiko nyumba ilipo au?
Ni kweli, Mbeya nyumba nzuri zinauzwa 50-60m. Hiyo ya 100m lazima iwe nzuri zaidi. Halafu siku hizi watu wakinunua nyumba wanaipiga chini na kujenga nyingine aipendayo.