Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba inauzwa Mbeya mjini, nyuma ya pm hotel, karibu kabisa na stand ya nanenane, mita mia toka rami inayotoka nanenane kwenda ilomba, piga simu 0744757738View attachment 2130419View attachment 2130420
Nani kasema million mia mbili, nyumba inauzwa million 70 na maongezi yapoYaani nyumba hii ndio milioni 200 kweli??
Je umewahi kufika mbeya?Mbona kumechoka sana, hapo ndiyo mbeya mjini?
Sijawahi ila pamochoka sana kama Mlandizi hiviJe umewahi kufika mbeya?
Hapana, sasa hapo nyuma ya nyumba ni stand kuu ya nanenane nduguSijawahi ila pamochoka sana kama Mlandizi hivi
Mbeya iko hivyo,majumba huwa yanazama sababu ya Rift ValleyMbona kumechoka sana, hapo ndiyo mbeya mjini?
NdioDuh Mbeya tena?!
Unazijua nyumba za miti zilizoko Kariakoo..!? Unajua bei yake?Yaani nyumba hii ndio milioni 200 kweli??
MuelekezeUnazijua nyumba za miti zilizoko Kariakoo..!? Unajua bei yake?
punguza bei, 400m parefu sanaNyumba inauzwa Mbeya Mjini, nyuma ya pm hotel, karibu kabisa na stand ya nanenane, mita mia toka rami inayotoka nanenane kwenda ilomba, piga simu 0744757738
View attachment 2130420
Shida unaongea ukiwa nyumbani kwa shemeji yako, haujui maisha umeolewa wewe na dada akopunguza bei, 400m parefu sana
matusi ya nini tena mkuuShida unaongea ukiwa nyumbani kwa shemeji yako, haujui maisha umeolewa wewe na dada ako
Not only quality ya nyumba inayo-determine cost... PRIME AREA zina bei sana... Bei ya kiwanja posta ya Dar unaweza ukanunua nyumba kadhaa zilizopo Temeke, achia mbali za Isyesye MbeyaMuelekeze
Ukubwa wa Kiwanja?Nani kasema million mia mbili, nyumba inauzwa million 70 na maongezi yapo
Kina sp mt 478, hati bado haijatoka kwa msajiliUkubwa wa Kiwanja?
Kuna hati miliki?