House4Sale Nyumba inauzwa Mbeya mjini

House4Sale Nyumba inauzwa Mbeya mjini

Kina sp mt 478, hati bado haijatoka kwa msajili
Wengi sana hufanya haya makosa ya kutaka ukubwa wa kiwanja kwa Square meter... Square meter hazikupi picha ya shape ya kiwanja... maana Square meter inapatikana baada ya kuzidisha urefu kwa upana... the same Square meters unaweza ukazipata kwa kuzidisha upana na urefu tofauti.. mfano .. 20m X 30m = 600 Square meter.. lakini hata 10m X 60m = 600 Square meters
 
... hata 1m x 600m = 600 sqm pia aka uchochoro.
 
Back
Top Bottom