House4Sale Nyumba Inauzwa Mbezi Louis

House4Sale Nyumba Inauzwa Mbezi Louis

Joined
Jul 15, 2015
Posts
53
Reaction score
11
Nyumba inauzwa eneo karibu na shule ya msingi mbezi luis
Njia ya kwenda Goba
Eneo lina SQM 400 (20×20)

Nyumba ina umeme na maji
Nyumba ina vyumba vinne.
Finishing haijakamilika vizuri.

Dakika 10 tuu mpaka barabarani
Inahitajika milioni 36 tu...🔥

☎️ +255 783755971

Karibuni sana

20241119_141514.jpg
20241119_141556.jpg
 
Uko ndiko napapenda sana goba au mbweni
Mbona huko palikua maporini tu mkuu🤔🤔🤔 kwa sasa ukinunua maporini miaka ijayo huko mbweni na goba patakua pakishamba tu kama ilivyo masaki kwa sasa🤔🤔🤔
 
Mbona huko palikua maporini tu mkuu🤔🤔🤔 kwa sasa ukinunua maporini miaka ijayo huko mbweni na goba patakua pakishamba tu kama ilivyo masaki kwa sasa🤔🤔🤔
Sawa kwasasa poli lipi niende
 
Back
Top Bottom