House4Sale Nyumba Inauzwa Mbezi Louis

House4Sale Nyumba Inauzwa Mbezi Louis

Huko hapana kabisa
Babu yangu alikua na shamba mbweni sio kiwanja sema shamba halafu huyo ni baba wa baba yangu 🤔🤔🤔🤔🤔 ila kwa sasa mbemwi papoje? Kwa nini mimi nisiwe na mashamba pwani? Ambae ni mjukuu🤔🤔🤔
 
Babu yangu alikua na shamba mbweni sio kiwanja sema shamba halafu huyo ni baba wa baba yangu 🤔🤔🤔🤔🤔 ila kwa sasa mbemwi papoje? Kwa nini mimi nisiwe na mashamba pwani? Ambae ni mjukuu🤔🤔🤔
Ahahah
 
Sawa, japo Kuna nyumba inauzwa Mbezi beach dollar 450,000

Ukiwa tayari nikuunganishe na Muuzaji 😜
Wana ujasiri mpaka wa kuweka bei kwenye dola? Kweli nchi yetu ni nchi ya malimbukeni. Akitaja bei kwa sh inawakuwaje?
 
Wana ujasiri mpaka wa kuweka bei kwenye dola? Kweli nchi yetu ni nchi ya malimbukeni. Akitaja bei kwa sh inawakuwaje?
Wajanja hao, wameona Thamani ya Dola inapanda Kila Siku

Hadi kufikia juzi, dollar Moja ya Marekani ilikuwa sawa na shilingi 2,638 🙌

Kwahiyo hali ikiendelea hivi, dollar moja inaweza kufika 3,000 soon
 
Back
Top Bottom