House4Sale Nyumba inauzwa mbweni jkt

House4Sale Nyumba inauzwa mbweni jkt

Mkuu

I am talking too much OR I am talking too many facts?

Sikiliza wewe, yakupasa uwe reasonable na uwe na busara kwenye Mambo uyafanyayo.

Okay Mimi nilichofanya ni kumuelewesha huyo muuzaji kuwa kupitia hiyo analysis yangu hapo juu hizo bei yake ya 270mil ni impossible kupata mteja.

Well said, Nkuba muyaga.
 
Sasa hii nyumba yako ina tofauti gani na zile za NSSF ambazo wao wanatuuzia milioni Sabini na nne VAT inclusive? Yan iyo hela ya kununua nyumba yako moja, napata tatu za NSSF na chenji inabaki.
 
Mbweni jkt ni very expensive place....kiwanja cha sqm 1200 kinauzwa si chini ya 120milion.........kiwanja cha sqm 1000 hupati chini ya 1000million umepunguziwa sana ni 90 million. Ila watu wana shindwa kuitofautisha mbweni unajua kuna mbweni jkt, kuna mbweni teta, kuna mbweni malindi estate, na kuna mbweni mpiji
sasa.... mbweni ambayo ni ghari sana ni hii ya mbweni jkt sasa mtu huijui mbweni afu unasema mbweni kuna kiwanja cha 40 million kitoke wapi ila hizo mbweni zingine nilizozitaja ziko chini sana unaweza pata plot kwabei yoyote ila mbweni jkt haikamatiki.

Tatizo mnachanganya bei hapo, kuna bei za mwaka jana 2015- 2009, na kuna bei za mwaka 2016 yaani bei elekezi.. Kiukweli milioni 270 kipindi iki sahau huo ndio ukweli.. Kuwa fair utauza, ila bei za awamu ya nne sahau kabisaa.
 
Back
Top Bottom