Manka R JF-Expert Member Joined Feb 28, 2013 Posts 238 Reaction score 29 Sep 14, 2014 #1 Ipo Kinondoni shamba eneo halina maji na iko barabarani mtaani, ukubwa wake ni hatua 30*20 ila nyumba yenyewe inahitaji marekebisho .. 0789634651
Ipo Kinondoni shamba eneo halina maji na iko barabarani mtaani, ukubwa wake ni hatua 30*20 ila nyumba yenyewe inahitaji marekebisho .. 0789634651
fugees JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 2,868 Reaction score 884 Sep 14, 2014 #2 bila pcha mkuu weka pcha mkuu.
dansmith JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 2,305 Reaction score 2,097 Sep 14, 2014 #3 Kndoni shamba ipi au unauza nyumba ya mkufya weka picha
Z Zion Daughter JF-Expert Member Joined Jul 9, 2009 Posts 8,920 Reaction score 4,244 Sep 14, 2014 #4 fugees said: bila pcha mkuu weka pcha mkuu. Click to expand... Watu hawanunui Nyumba bali kiwanja.Utashangaa mtu ananunua na anaivunja
fugees said: bila pcha mkuu weka pcha mkuu. Click to expand... Watu hawanunui Nyumba bali kiwanja.Utashangaa mtu ananunua na anaivunja