stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Ukubwa w kiwanja?Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi.
Nyumba inavyumba viwili vya kulala vyote master. Ina maji na umeme nimesogeza nguzo na kufanya wiring mwenye uhitaji unipigie/whatsup 0673294681.
Ninashida ya pesa nataka niende masomoni nje ya nchi.
Bei tsh. 20m mazungumzo yapo