sana kipindi cha jk kile hahahaBei za nyumba zimeshuka sana.
Hapo zamani kidogo mjengo kama huo ungeuzwa si chini ya milioni 100!
Majirani wapo sema alie piga picha hajapiga vizuriJumba kali balaa sema hakuna jirani..mweeh kunyongewa humo usiku na wazee wazi easy tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar mna raha sana; huku Arusha hicho kiwanja peke yake TZS 30 millionNyumba ipo mbezi mwisho mtaa wa msakuzi ipo karibu na barabara/kituo cha daladala
Price: TZS 26,000,000 (mwenye nyumba ana shida ya haraka kwahiyo kashusha bei)
.Documents serikali ya mtaa lakini wapo kwenye hatua za upimaji
• kiwanja kina ukubwa wa eneo 35 kwa 20 • maji na umeme vipo
.
Call/WhatApp: 0758851175View attachment 1369699View attachment 1369701View attachment 1369702View attachment 1369703View attachment 1369704
KweliHela imekuwa ngumu sana. Mm nilipambana kuuza nyumba tangu mwez wa sita hadi wa 12. Now nimeamua niweke wapangaji tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa hata mabenki yanapata tabu sana kuuza nyumba za wale wenzetu.Bei za nyumba zimeshuka sana.
Hapo zamani kidogo mjengo kama huo ungeuzwa si chini ya milioni 100!