Kama unaamini nyumba zimeshuka, msubiri dovillenproperty a-post nyumba anazouza hapa!!Bei za nyumba zimeshuka sana.
Hapo zamani kidogo mjengo kama huo ungeuzwa si chini ya milioni 100!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaamini nyumba zimeshuka, msubiri dovillenproperty a-post nyumba anazouza hapa!!Bei za nyumba zimeshuka sana.
Hapo zamani kidogo mjengo kama huo ungeuzwa si chini ya milioni 100!
Hii nyumba inauzwa bei rahisi kwasababu ya mwenyewe ana shida ya harakaNi kweli kabisa hata mabenki yanapata tabu sana kuuza nyumba za wale wenzetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo Ni kweli mkuu,Ni kweli kabisa hata mabenki yanapata tabu sana kuuza nyumba za wale wenzetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda si mrefu itapigwa lami kutokea Bunju inapitia Mabwepande!Nyumba nzuri tatizo msakuzi barabara mbovu jamani uwiiii.
Wabobezi wa kupanga au kuishi kwa wazazi utawajua tuNadhani mtoa post umekosea. Badala ya kuandika Nyumba ungeandika PAGALA.
Nyumba unaijua wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba nzuri tatizo msakuzi barabara mbovu jamani uwiiii.
duhhhhh...
Kwa lubabambezi mwisho msakuzi napapata.. Kituo cha kushukia/stand kinaitwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
mbezi mwisho msakuzi napapata.. Kituo cha kushukia/stand kinaitwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kina ukubwa gani??Kama unataka kiwanja sema kipo kwa mil 6
Kweli mkuuDar mna raha sana; huku Arusha hicho kiwanja peke yake TZS 30 million