NANGAI MSUMI
Senior Member
- Apr 12, 2015
- 146
- 94
Haka ukimkaribisha mrembo sii unajigegesea kwa raha.Kigeto safi cha kujibanza wakati unangoja kukamilisha dream house!
Hapo kwa watoto walivyo na njaa hicho kigeto ni visa safi kabisa ya kuoleaHaka ukimkaribisha mrembo sii unajigegesea kwa raha.
15. Hapana Panda kidogo labda 18 mamb yasiwe mengi. Ila Eneo ni hot cake sana. Kiwanja tu maeneo hata Kwa ss chenye Ukubwa Kama wa hii Nyumba. Vinaanzia million 8 Hadi 10. Can you imagine.Kula 15m mzeeya
Uwani hakuna nafasi kubwa. Ila Kwa Kigali kidogo kinaweza kuingia . Kama IST au vitsHii nyumba ina sehemu yakutosha kupaki ka raum changu?