House4Sale Nyumba inauzwa Millioni 19 Kigamboni Darajani

House4Sale Nyumba inauzwa Millioni 19 Kigamboni Darajani

NANGAI MSUMI

Senior Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
146
Reaction score
94
Nyumba Ina vyumba viwili vya kulala sebule jiko na choo Cha public. Ipo kwenye fensi mazingira mazuri.

Ipo kwenye barabara ya mtaa, ipo Kigamboni darajani karibu na daraja la Nyerere.

Simu: 0652180400

Maongezi yapo kidogo sana.

IMG_20220527_003247_681.jpg
 
Ungewaekea na hiko kichochoro [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kula 15m mzeeya
15. Hapana Panda kidogo labda 18 mamb yasiwe mengi. Ila Eneo ni hot cake sana. Kiwanja tu maeneo hata Kwa ss chenye Ukubwa Kama wa hii Nyumba. Vinaanzia million 8 Hadi 10. Can you imagine.
 
Hii nyumba ina sehemu ya kutosha kupaki ka raum changu?
 
Piga picha vizuri nione...kesho tumalizane boss
 
Gari unapaki nje ya. geti..... that is assuming gari lenyewe linafika nje ya geti... manake picha zimepigwa kiufundi wa wa hali ya juu kuficha vichochoro....

Labda mil 10 ndio naweza kuifikiria
 
Back
Top Bottom