House4Sale Nyumba inauzwa Mkoa wa Mwanza

hazard Don

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Posts
1,203
Reaction score
1,007
>wilaya ya ilemela,kata kitangiri,mtaa wa Jiwe Kuu
>Hati IPO
>Ni master room na Dining
>Bei 9m
>Bei ni maelewano
>nicheck PM
 
Ungemalizia na size ya kiwanja,kama gari inafika hadi kiwanjani na ukatupia picha kadhaa za nje na ndani

Kila la heri
 
weka picha, au wewe ni dalali unaogopa ukiweka picha wajanja watakufanyia timing!!
 
Mkuu wenzako wanawekaga na PICHA ili waeleweke vizuri.
 
Tambalale hapo mbele mpaka unapita hapo kama unavoona hilo hilo
Hilo eneo hapo nyuma ni tambalale.
Kuhusu hilo Jiwe kuliondoa hapo let say 300,000
Bado mawe yanayotoka hapo unatumia kujenga
Hiyo point kulia ndipo mpaka unapita jirani na hiyo Nyumba.
Ni hatua 1 toka kwenye hiyo Nyumba.
Akhsanteni karibu kwa business.
 

Attachments

  • IMG-20171025-WA0000.jpg
    130.7 KB · Views: 152
  • IMG-20171025-WA0000.jpg
    130.7 KB · Views: 151
  • IMG-20171025-WA0004.jpg
    111.6 KB · Views: 153
  • IMG-20171025-WA0006.jpg
    112.4 KB · Views: 143
Bei ni maelewano
Picha za ndani sijatumiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…