House4Sale Nyumba inauzwa Mkoa wa Mwanza

House4Sale Nyumba inauzwa Mkoa wa Mwanza

Hahahaaa nimecheka mpk uchovu wa kazi umeisha! Na huu umeme wamekata muda si mrefu sijui wanatutakia nini!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tanesco siyo wa mchezomchezo ukipita pale makao yao makuu unakuta majenereta yanaunguruma wakati sisi huku kitaa hatuna umeme unashindwa kujua what went wrong
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tanesco siyo wa mchezomchezo ukipita pale makao yao makuu unakuta majenereta yanaunguruma wakati sisi huku kitaa hatuna umeme unashindwa kujua what went wrong
[emoji23] [emoji23] hakuna namna,na hii mvua ngoja tuingie kwenye mablanket
 
Mh labda atuambie tangazo lake na umeme vinausiana,
Je hata saa hizi hiyo nyumba Ina umeme!?
 
Mteja ni mfalme,mkuu karibu

Mwaka 2007 nikiwa mwanza niliwahi uliziwa eneo kitangiri juu kabisa yani rada ya ndege unaona chini haaaa huko labda kwa teknolojia ya Brazil ya kuunga mlima kwa mlima
 
Mwaka 2007 nikiwa mwanza niliwahi uliziwa eneo kitangiri juu kabisa yani rada ya ndege unaona chini haaaa huko labda kwa teknolojia ya Brazil ya kuunga mlima kwa mlima
Nyumba za Lugumi bado zinatafuta mteja
 
Screenshot_2017-10-25-20-30-37.png
hiyo point ndo Nyumba ilipo
 
Screenshot_2017-10-25-20-53-19.png
eneo lipo mjini barabara ndo kama unavoona,makazi ya kutosha ,Umeme Maji,shule,hospital huduma zote za msimgi zipo karibu.
Bei ni maelewano kulinganisha uwekezaji uliofanyika na mahali eneo lilipo.
Karibu sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu [emoji23][emoji23][emoji23] daaah jamaa kanichekesha sana hadi mke wangu hapa ananiuliza kuliko ni[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom