House4Sale Nyumba inauzwa Mkoa wa Mwanza

House4Sale Nyumba inauzwa Mkoa wa Mwanza

Blaza sasa hiyo ni nyumba au banda .......maana hapo kuta ni nne tu na ndani chumba ndicho kimebeba hizo kuta unasemaje kuwa ni nyumba hiyo?!
Ndg nadhani tuache dhihaka, kwa kuwa familia yake inaishi au kuna mtu anafanya maisha humo, kwa nafasi yake hiyo ni nyumba. Kwa wale wenyeji wa Mwanza kuna baadhi ya maeneo yana mawe kama mnavyoona ni viwanja vimepimwa.

Ndg yetu yuko sahihi, kuita kiwanja na yuko sahihi kuita nyumba. Maana ina maana penye maana, hivyo wanaojua mazingira ya Mwanza ndio wateja sahihi wa huyu ndg yetu na si vinginevyo.
 
Sio mawe ndio yanauzwa?
Usiwapotoshe wasioweza kununua nyumba za mil.100. Unacheka sababu haujui thamani ya hicho unachokicheka.kinauzwa kulingana na thamani yake karibu sana ndugu
 
SOMA HAPA
Kwa wale mnaofahamu thamani ya eneo lililo katika makazi ya watu wahi mapema kuchukua hilo eneo.
Lipo mjini ,Maji yapo,Umeme,na eneo kubwa la kujenga.
Screenshot_2017-10-25-18-44-46.png
e, na eneo la kujenga lipo.
Ni Kata ya kitangiri, Jiwe Kuu kwa bei poa.
Screenshot_2017-10-25-20-53-19.png
Screenshot_2017-10-25-20-30-37.png

BEI MAELEWANO
 
Ngoja nirudi Bongo ntakutafuta...nyumba poa sana hiyo mkuu hamna cha majirani wambeyawambeya.safiii
 
Madalali ni wapuuzi sana,hati utaitoa wapi huko kwenye mawe?au ni hati ya kubumba?
Sio kazi yangu kukuelimisha. Kwa kifupi hati IPO.pia hapo huwezi kupata kiwanja cha 1,000,000/=
Akhsante kwa ushirikiano
 
Na ndo maana unapadharau pole sana ndg. Inaonekana wewe ndo mwenye eneo endelea kutoa SIFA zake.
Akhsante kwa ushirikiano
Eneo limepimwa, Hati IPO karibu tufanye biashara, thanks.
Its a real business welcome
 
>wilaya ya ilemela,kata kitangiri,mtaa wa Jiwe Kuu
>Hati IPO
>Ni master room na Dining
>Bei 9m
>Bei ni maelewano
>Airtel ;0685830586
Milion 9 bei maelewano?[emoji38]kwa hii hali jiandae kupunguza bei mara mbili maana hali ngumu
 
Milion 9 bei maelewano?[emoji38]kwa hii hali jiandae kupunguza bei mara mbili maana hali ngumu
Why people prefer cash than bond,while bond has more value than cash. Hii biashara mwisho ni 31December 2017.Nitapunguza ila sio Mara mbili kwa anayedhani hivo call anipigie nitamuelewesha.
0685830586
 
Ongeza bei mkuu huo mgodi unaosema kiwanja sio mdogo
Ushauri ni mzuri mkuu.
Bei haipangwi kwa kukurupuka.unapanga bei kulingana na thamani ya eneo na maendelezo yaliyofanyika.
Ukiangalia katika map Nyumba zimezunguka mahala hapo nyingi sana.
Karibu eneo husika uthaminishe tufanye biashara Akhsante.
 
Back
Top Bottom