Nyumba inauzwa Morogoro mjini (kichangani street)

Nyumba inauzwa Morogoro mjini (kichangani street)

Kichangani huko kulikochangamka huko mkuu au sio wazee wa area 6 wazee wa 8 8 wazee wa mafisa kwa mambi
naona unakuja kuja mkuuu wewe utakua umepajua. Mitaa yote uliyotaja huwezi kufika bila kufika kichangani kama utatokea Kilakala au Hospital Kuu ya Morogoro.
 
Bila picha ni utapeli na unaweza kuta iko kwenye mto
si kila tangazo lisilo na picha ni utapeli wakati mwingine mtu anaweza kuuza kitu chake na asiwe na picha.

Mfano : sikila mtu anaingia JF kwa simu wengine n computer and inakuaje kama anataka kuuza kitu chake na hajapata picha?

Si lazima aombe wenye simu wamsaidie? je kama wenye simu hawako karibu au hawana nafasi kwa muda huo utawalazimisha?

Ubaya au Uzuri Huo Mtaa hauna MTO wala chanzo cha maji wala kisima hata cha kuchimbwa.

Uzuri mwingine inauzwa nyumba yenye HATI.

Uzuri mwingine nyumba sio simu kwamba uambiwe nzima kumbe mbovu, Nyumba inaonekana inaingilika lakini Zuri zaidi ni kwamba NYUMBA ina wapangaji.

Ukifika unaweza wauliza Wapangaji Wanamlipa NANI KODI.

unaweza waambia Wakupe mikataba yao ya upangishaji.

Unaweza uliza majirani pia kila kitu kiko wazi.

Utapeli Upo lakini usifikiri kila kitu ni utapeli uwe una mawazo Chanya wakati mwingine.
 
Niko interested mkuu. jaribu kuleta picha na ukubwa wa eneo la kiwanja. Tupe direction kwa kutumia google kama kuna uwezekano.
 
Niko interested mkuu. jaribu kuleta picha na ukubwa wa eneo la kiwanja. Tupe direction kwa kutumia google kama kuna uwezekano.
sawa mkuu nimekua sichangamshi HUU UZI kwani bado nasubiri picha nikipata tu Picha naleta MKUU wangu. na ntazituma sana hapa.
 
Kuwa serious asee kama hukuwa na picha ni bora usingepost tangazo. Siku ya tatu hakuna picha au kama vipi chora kama kupiga umeshindwa
 
Unauza nyumba yako na hauna picha yoyote? Ungekuwa na picha ningeweza kuinunua.
 
Back
Top Bottom