naona unakuja kuja mkuuu wewe utakua umepajua. Mitaa yote uliyotaja huwezi kufika bila kufika kichangani kama utatokea Kilakala au Hospital Kuu ya Morogoro.Kichangani huko kulikochangamka huko mkuu au sio wazee wa area 6 wazee wa 8 8 wazee wa mafisa kwa mambi
si kila tangazo lisilo na picha ni utapeli wakati mwingine mtu anaweza kuuza kitu chake na asiwe na picha.Bila picha ni utapeli na unaweza kuta iko kwenye mto
sawa mkuu nimekua sichangamshi HUU UZI kwani bado nasubiri picha nikipata tu Picha naleta MKUU wangu. na ntazituma sana hapa.Niko interested mkuu. jaribu kuleta picha na ukubwa wa eneo la kiwanja. Tupe direction kwa kutumia google kama kuna uwezekano.
👍🙏🙏sawa mkuu nimekua sichangamshi HUU UZI kwani bado nasubiri picha nikipata tu Picha naleta MKUU wangu. na ntazituma sana hapa.
Tena heka 5 dar alafu aongezwe na 10m na mimi jamani mwenye kuuza heka 5 dar nanunua kwa 20m cash muhimu tu kiwanja hcho cha heka 5 kisome darndugu unaijua thamani ya heka tano dar es salaam?