House4Sale Nyumba inauzwa mwanagati, UKONGA (35m)

House4Sale Nyumba inauzwa mwanagati, UKONGA (35m)

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,660
Maelezo:
Nyumba inapatikana mwanagati, (wilaya ya ilala)
Nyumba ina vyumba vitatu ( 1 self contained)
Ipo ndani ya fensi
Ina maji na Umeme
Eneo ni sqm 625 (25*25)
Eneo limesharasimishwa (surveyed)
Imeshafungwa gypsums, tiles Bado.
Inahitajika finishing kidogo upade wa rangi na plasta kwa nje.
Umbali kutoka nyerere road/old pugu road ni 4.5km

Offer/price: 35m

IMG_20190703_114026.jpeg
IMG_20190703_114018.jpeg
IMG_20190703_113943.jpeg
IMG_20190703_113904.jpeg
IMG_20190703_113854.jpeg
IMG_20190703_113754.jpeg
IMG_20190703_113508.jpeg
IMG_20190703_113241.jpeg
IMG_20190703_113644.jpeg
IMG_20190703_113451.jpeg
IMG_20190703_113314.jpeg
 
Maelezo:
Nyumba inapatikana mwanagati, (wilaya ya ilala)
Nyumba ina vyumba vitatu ( 1 self contained)
Ipo ndani ya fensi
Ina maji na Umeme
Eneo ni sqm 625 (25*25)
Eneo limesharasimishwa (surveyed)
Imeshafungwa gypsums, tiles Bado.
Inahitajika finishing kidogo upade wa rangi na plasta kwa nje.
Umbali kutoka nyerere road/old pugu road ni 4.5km

Offer/price: 35m

Call: 0756 832833

View attachment 1145611View attachment 1145612View attachment 1145613View attachment 1145614View attachment 1145615View attachment 1145616View attachment 1145617View attachment 1145618View attachment 1145619View attachment 1145620View attachment 1145622
Mkuu vipi hiyo ndoo ya plastic hapo nayo inauzwa tuongee biashara?
Maana hela ya kununua hiyo nyumba sina kaka
 
Mkuu vipi hiyo ndoo ya plastic hapo nayo inauzwa tuongee biashara?
Maana hela ya kununua hiyo nyumba sina kaka
Wakati mwingine ukificha mapungufu yako si vibaya, kama ulikua unatania sorry sana si mahala pake..take easy!
 
Mkuu ungeandika tu nauza ukuta mweupe na madilisha tungeelewana.
 
Kama wewe ni dalali acha hiyo kazi Mara moja haikufai. Halafu unaambiwa unajibu vibaya.

Hapo hamna picha yoyote ya kuuza hiyo nyumba. Unapiga picha kama vile unajiiba usionekane.
Ulitakiwa uweke picha inayoonyesha nyumba nzima kwa nje na siyo madirisha na fensi.

Pitia nyuzi za madalali huku ujifunze kitu.
 
Unaweza onesha au kunukuu mstari mtu aliojibiwa vibaya humu?
Wahitaji huwa wanataka just preview tu
Kuona mazingira yanafanana vipi.
Wahitaji huwa sio wasumbufu wa kucomment wala kutoa kasoro ndogo ndogo zisizo na msingi wowote.
Changamoto ya humu wote ni much knows.
Nb.
(Kama unanifundisha kazi nashukuru kwa hilo)
Unaweza fuatilia threads zangu
Kwenye hili jukwaa pia.
 
Unaweza onesha au kunukuaa mstari mtu aliojibiwa vibaya humu?
Wahitaji huwa wanataka just preview tu
Kuona mazingira yanafanana vipi.
Wahitaji huwa sio wasumbufu wa kucomment wala kutoa kasoro ndogo ndogo zisizo na msingi wowote.
Kama unanifundisha kazi nashukuru kwa hilo.

Siwezi kuonyesha kwa sababu hatupo mahakamani hapa.

Haya kama wahitaji siyo wasumbufu wa kucomment na hawana haja ya kuona nyumba wanatamani kuona tuu vimazingira yanafanana vipi, Sawa!!!

Ingekuwa basi imeshapata mteja tangu ulivyoiweka huku. Hiyo haiwezi kupata wateja kwa picha hizo unadhani 35M ni hela ndogo??
 
Unaweza onesha au kunukuaa mstari mtu aliojibiwa vibaya humu?
Wahitaji huwa wanataka just preview tu
Kuona mazingira yanafanana vipi.
Wahitaji huwa sio wasumbufu wa kucomment wala kutoa kasoro ndogo ndogo zisizo na msingi wowote.
Changamoto ya humu wote ni much knows.
Nb.
(Kama unanifundisha kazi nashukuru kwa hilo)
Unaweza fuatilia threads zangu
Kwenye hili jukwaa pia.
Yani preview zako ndo ukuta na dirisha umemaliza??? Duh
 
Siwezi kuonyesha kwa sababu hatupo mahakamani hapa.

Haya kama wahitaji siyo wasumbufu wa kucomment na hawana haja ya kuona nyumba wanatamani kuona tuu vimazingira yanafanana vipi, Sawa!!!

Ingekuwa basi imeshapata mteja tangu ulivyoiweka huku. Hiyo haiwezi kupata wateja kwa picha hizo unadhani 35M ni hela ndogo??
Mda wa lunch huu kipenzi..twende zetu
 
Back
Top Bottom