NAREI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 1,730
- 1,660
- Thread starter
- #21
Sawa boss, mchana mwema!Siwezi kuonyesha kwa sababu hatupo mahakamani hapa.
Haya kama wahitaji siyo wasumbufu wa kucomment na hawana haja ya kuona nyumba wanatamani kuona tuu vimazingira yanafanana vipi, Sawa!!!
Ingekuwa basi imeshapata mteja tangu ulivyoiweka huku. Hiyo haiwezi kupata wateja kwa picha hizo unadhani 35M ni hela ndogo??