Mkuu vipi hiyo ndoo ya plastic hapo nayo inauzwa tuongee biashara?Maelezo:
Nyumba inapatikana mwanagati, (wilaya ya ilala)
Nyumba ina vyumba vitatu ( 1 self contained)
Ipo ndani ya fensi
Ina maji na Umeme
Eneo ni sqm 625 (25*25)
Eneo limesharasimishwa (surveyed)
Imeshafungwa gypsums, tiles Bado.
Inahitajika finishing kidogo upade wa rangi na plasta kwa nje.
Umbali kutoka nyerere road/old pugu road ni 4.5km
Offer/price: 35m
Call: 0756 832833
View attachment 1145611View attachment 1145612View attachment 1145613View attachment 1145614View attachment 1145615View attachment 1145616View attachment 1145617View attachment 1145618View attachment 1145619View attachment 1145620View attachment 1145622
Nyumba yenyewe mbovu piaPicha Zako Ulizopiga Mbovu Sanaa
Hii dunia ya mussaMkuu vipi hiyo ndoo ya plastic hapo nayo inauzwa tuongee biashara?
Maana hela ya kununua hiyo nyumba sina kaka
inahitaji finishing kidg hahahahihihihimkuu unauza nyumba au godauni?
Unaweza onesha au kunukuu mstari mtu aliojibiwa vibaya humu?Kama wewe ni dalali acha hiyo kazi Mara moja haikufai. Halafu unaambiwa unajibu vibaya.
Hapo hamna picha yoyote ya kuuza hiyo nyumba. Unapiga picha kama vile unajiiba usionekane.
Ulitakiwa uweke picha inayoonyesha nyumba nzima kwa nje na siyo madirisha na fensi.
Pitia nyuzi za madalali huku ujifunze kitu.
Unaweza onesha au kunukuaa mstari mtu aliojibiwa vibaya humu?
Wahitaji huwa wanataka just preview tu
Kuona mazingira yanafanana vipi.
Wahitaji huwa sio wasumbufu wa kucomment wala kutoa kasoro ndogo ndogo zisizo na msingi wowote.
Kama unanifundisha kazi nashukuru kwa hilo.
Yani preview zako ndo ukuta na dirisha umemaliza??? DuhUnaweza onesha au kunukuaa mstari mtu aliojibiwa vibaya humu?
Wahitaji huwa wanataka just preview tu
Kuona mazingira yanafanana vipi.
Wahitaji huwa sio wasumbufu wa kucomment wala kutoa kasoro ndogo ndogo zisizo na msingi wowote.
Changamoto ya humu wote ni much knows.
Nb.
(Kama unanifundisha kazi nashukuru kwa hilo)
Unaweza fuatilia threads zangu
Kwenye hili jukwaa pia.
Mda wa lunch huu kipenzi..twende zetuSiwezi kuonyesha kwa sababu hatupo mahakamani hapa.
Haya kama wahitaji siyo wasumbufu wa kucomment na hawana haja ya kuona nyumba wanatamani kuona tuu vimazingira yanafanana vipi, Sawa!!!
Ingekuwa basi imeshapata mteja tangu ulivyoiweka huku. Hiyo haiwezi kupata wateja kwa picha hizo unadhani 35M ni hela ndogo??
Bora hata umekuja kunichukua. Twende DearMda wa lunch huu kipenzi..twende zetu