Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,082
- 2,402
Kama mada isemavyo, nyumba ipo Mwenge mitaa ya TRA jijini Dar es salaam, nyumba ina vyumba vitatu na mabanda ya uwani, eneo lina sqm 500! Document zote zipo na hati! Bei ni 260M maongezi yapo
Pia kama unahitaji nyumba ya kununua maeneo hayo ya Mwenge mitaa ya TRA nichek Offer zinaanzia 200M mpaka 350K
Na pia wale wanaohitaji za kupanga iwe nyumba, chumba au ofisi nanyi karibuni!
Kwa maswali na maelezo zaidi nicheki kwa
0684448888 au 0713415537.
Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi