Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Kuna milioni 10 mahali.. Naichukua nikufate tu bargain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu nadhani anauza kanisa...
Huyu nadhani anauza kanisa...
Ngoja tu nikupotezee! mana maneno mengi kama mama wa uswazi, siwezi bishana na mtu ambae kwenye hii isue haweza hata kunusa harufu yake, endelea kupanga vyumba vya 40k, unakaa kwenye nyumba ya kupanga ya 40k utaweza kutoa hata wazo la nyumba ya 260M, kiwanja cha laki tano kimekushinda huna kweli unabweka hapa kwenye huu uzi? kweli? Hivi unajua nyumba za mwenge kijijini na ukubwa wake? toka kwenye hiyo vyumba vyako vya 40k huko uswahilini uje nikupe hata chumba cha 100k hapa mwenge ukae bure
mkuu usikariri, sio vyote, mfano changu kina 400+ so cinatofautiana, mfano hivi pia tulivyopewa Chalinze kupitia ushirika vingine vinana 800sq vingine vina 1300sq.. usikariri mkuuViwanja vyote vya mwenge Vina ukubwa wa Mira mraba 375 [375sqm] yani 15m*25m. Kwa mana hiyo huwezi kuta ukubwa WA nyumba unazidi ukubwa WA kiwanja unless iwe ya ghorofa labda ambapo kila floor inahesabika kwenye ukubwa wake
Mkuu! Mie siongei kwa kubahatisha ila ninajua historia ya eneo zima la mwenge ushirika. Viwanja vinavyo zidi 375sqm ni vichache sana na most of them ni corner plots. Dhana nzima ya project ilikuwa ni kudesign viwanja vya high density vya ujazo huo kwaajili ya kuwapa civil servant. Na kwa taarifa yako hapo vilipimwa viwanja 415. Yani kuna plot no. 1 - 415 block 43 kijitonyama.mkuu usikariri, sio vyote, mfano changu kina 400+ so cinatofautiana, mfano hivi pia tulivyopewa Chalinze kupitia ushirika vingine vinana 800sq vingine vina 1300sq.. usikariri mkuu
Naona unajua kuliko sisi wakazi wenyewe! sijakataa vipo vya saizi hiyo ndio mana nikakuambia usikaririshe, siku nitakualika kwenye vikao vyetu vya ushirika angalau uongeze ujuzi wa historia yako.. ukubwa unatofautiana mkuu, ndio mana nakuambia changu ni 400+ siku karibu upime kabisaMkuu! Mie siongei kwa kubahatisha ila ninajua historia ya eneo zima la mwenge ushirika. Viwanja vinavyo zidi 375sqm ni vichache sana na most of them ni corner plots. Dhana nzima ya project ilikuwa ni kudesign viwanja vya high density vya ujazo huo kwaajili ya kuwapa civil servant. Na kwa taarifa yako hapo vilipimwa viwanja 415. Yani kuna plot no. 1 - 415 block 43 kijitonyama.