House4Sale Nyumba inauzwa Mwenge DSM ( mitaa ya TRA)

Hongera mkuu, nyumba ninayo kaa mie pia ina square meters 500, tembeeni muone sio kelele mingi hapa.
 
mkuu nimekamatia namba yako ,ngoja nijichange sasa
 
Viwanja vyote vya mwenge Vina ukubwa wa Mira mraba 375 [375sqm] yani 15m*25m. Kwa mana hiyo huwezi kuta ukubwa WA nyumba unazidi ukubwa WA kiwanja unless iwe ya ghorofa labda ambapo kila floor inahesabika kwenye ukubwa wake
Ngoja tu nikupotezee! mana maneno mengi kama mama wa uswazi, siwezi bishana na mtu ambae kwenye hii isue haweza hata kunusa harufu yake, endelea kupanga vyumba vya 40k, unakaa kwenye nyumba ya kupanga ya 40k utaweza kutoa hata wazo la nyumba ya 260M, kiwanja cha laki tano kimekushinda huna kweli unabweka hapa kwenye huu uzi? kweli? Hivi unajua nyumba za mwenge kijijini na ukubwa wake? toka kwenye hiyo vyumba vyako vya 40k huko uswahilini uje nikupe hata chumba cha 100k hapa mwenge ukae bure
 
Viwanja vyote vya mwenge Vina ukubwa wa Mira mraba 375 [375sqm] yani 15m*25m. Kwa mana hiyo huwezi kuta ukubwa WA nyumba unazidi ukubwa WA kiwanja unless iwe ya ghorofa labda ambapo kila floor inahesabika kwenye ukubwa wake
mkuu usikariri, sio vyote, mfano changu kina 400+ so cinatofautiana, mfano hivi pia tulivyopewa Chalinze kupitia ushirika vingine vinana 800sq vingine vina 1300sq.. usikariri mkuu
 
Mkuu! Mie siongei kwa kubahatisha ila ninajua historia ya eneo zima la mwenge ushirika. Viwanja vinavyo zidi 375sqm ni vichache sana na most of them ni corner plots. Dhana nzima ya project ilikuwa ni kudesign viwanja vya high density vya ujazo huo kwaajili ya kuwapa civil servant. Na kwa taarifa yako hapo vilipimwa viwanja 415. Yani kuna plot no. 1 - 415 block 43 kijitonyama.
 
Naona unajua kuliko sisi wakazi wenyewe! sijakataa vipo vya saizi hiyo ndio mana nikakuambia usikaririshe, siku nitakualika kwenye vikao vyetu vya ushirika angalau uongeze ujuzi wa historia yako.. ukubwa unatofautiana mkuu, ndio mana nakuambia changu ni 400+ siku karibu upime kabisa
 
Back
Top Bottom