Nyumba inauzwa na benki, tshs.22 milion, Ulongoni B, Gongolamboto

Nyumba inauzwa na benki, tshs.22 milion, Ulongoni B, Gongolamboto

UDalali ni wizi wa Wazi wazi...hulipi kodi, huna ofisi.
Mali sio yako alafu eti kuiona tu nyumba 50k...ndio maana mnakufa maskini kwa hela za Dhulma.
Ni yako iyo nyumba
Ukiona Dalali anatajirika au kuwa na maisha mazuri. Basi ujue ana mishe zingine anazificha kwenye udalali
 
UDalali ni wizi wa Wazi wazi...hulipi kodi, huna ofisi.
Mali sio yako alafu eti kuiona tu nyumba 50k...ndio maana mnakufa maskini kwa hela za Dhulma.
Ni yako iyo nyumba
Ila pengine ana ofisi, na analipa kodi hatujui
 
Madalali wa TZ ni wangese sana. Hiyo 50k ya kuona tu nyumba mnadhani inaokotwa? 10% ulipwe kwa kazi gani kubwa uliyofanya? Halafu anajitokeza mpumbavu na kulaumu wachina kuwapelekea moto madalali wa Kkoo.
Huyu dalali wa moto sana
 
Kila mtu mjini anataka afanye kazi rahisi kwa muda mfupi awe tajiri
Kwa style hiyo mkuu..huwezi kupata mtu..mara nyingi biashara za hivyo zinakuwaga ngumu sana kutoka..nakupa mfano wa stationary mbili moja una scan documents kwa 500sh kila moja na nyingine una scan documents kwa 1000sh unahisi watu watakimbilia wapi? Na hata ukimpiga leo kwa bei ya 1000sh akigundua kesho harudi
 
Gongo la mboto mnaishi kwa shida sana mpaka Leo Bado mnajenga vinyumba vya MILION 22 si Bora huyo Hela ukafungua genge la nyanya na vitunguu ukawa unaingiza 300000 kwa siku faida katika hiyo laki 300000 faida halisi ni 50000-67000 inategemea na siku namana Kuna siku nyanya au vitnguu unaona vingi lazima utafute faida ndogo ndogo hata sh50 kwa kitunguu so hapo unatoa fasta lakin Kuna siku vinakuwa vichache mpaka unamuita dada wa kazi akusaidie kuuza 50000*30=1500000 ishi kihesabu
 
Back
Top Bottom