bab-D
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 1,215
- 322
Nyumba inauzwa nyegezi Bondeni, mtaa wa Nyamazobe iko njiani mkono wa kushoto ukiwa unapandisha na barabara ya kwenda shule ya msingi Nyasubi,jirani na kwa Lugiko.
Ina vyumba vitatu na siting room moja, pia kiwanja chake ni double na ni kikubwa unaweza jenga nyumba kubwa kwa anaye hitaji tuwasiliane awe tayari kufika site na kuiona bei ni milion 25.
Ukitoka nyegezi kona njoo na barabara ya nganza unaweza shukia bondeni baa na fuata maelekezo hapo juu. bahati mbaya niko kazini picha sina ila kuna watu ukifika nitawaunganisha akiwemo mpangaji, hati na viambata vyote vipo.. .