House4Sale Nyumba inauzwa Nyegezi Bondeni

House4Sale Nyumba inauzwa Nyegezi Bondeni

Nyumba inauzwa nyegezi Bondeni, mtaa wa Nyamazobe iko njiani mkono wa kushoto ukiwa unapandisha na barabara ya kwenda shule ya msingi Nyasubi,jirani na kwa Lugiko. Ina vyumba vitatu na siting room moja, pia kiwanja chake ni double na ni kikubwa unaweza jenga nyumba kubwa kwa anaye hitaji tuwasiliane awe tayari kufika site na kuiona bei ni milion 25. Ukitoka nyegezi kona njoo na barabara ya nganza unaweza shukia bondeni baa na fuata maelekezo hapo juu. bahati mbaya niko kazini picha sina ila kuna watu ukifika nitawaunganisha akiwemo mpangaji, hati na viambata vyote vipo.. .
 
Kama mpaka Leo haujauza ! Mkuu unakigundu ! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Iko Nyegezi bondeni....! Million 25 halafu inapanda Million 35, sijui. Ila wengine wanahama mabondeni sie ndo utuuzie bondeni?
 
Iko Nyegezi bondeni....! Million 25 halafu inapanda Million 35, sijui. Ila wengine wanahama mabondeni sie ndo utuuzie bondeni?
We mtoto mtukutu sana, baba yako anauza wewe una bweka bweka hovyo.
 
Kweli balaaaa saut mmebomoa soko la nyumba nyegez enzi hizo wala pasingeweka tangazo na wala isingeuzwa 35
 
Bado inauzwa,nashukuru wateja wameanza kuja kuitazama,
 
Nyumba inauzwa nyegezi Bondeni, mtaa wa Nyamazobe iko njiani mkono wa kushoto ukiwa unapandisha na barabara ya kwenda shule ya msingi Nyasubi,jirani na kwa Lugiko.

Ina vyumba vitatu na siting room moja, pia kiwanja chake ni double na ni kikubwa unaweza jenga nyumba kubwa kwa anaye hitaji tuwasiliane awe tayari kufika site na kuiona bei ni milion 25.

Ukitoka nyegezi kona njoo na barabara ya nganza unaweza shukia bondeni baa na fuata maelekezo hapo juu. bahati mbaya niko kazini picha sina ila kuna watu ukifika nitawaunganisha akiwemo mpangaji, hati na viambata vyote vipo.. .

Ndiyo wapi huko??? Ni Wilaya gani hiyo mbona sijawahi kulisikia hilo eneo??
 
Baba D kwa nini unauza??? Nimesoma Saut hayo maeneo nayajua vizuri sana,isije kua hicho kiwanja ni gumashi...... Maana kina Kashekuli pande hizo wana case za viwanja kwa sana tu
Karibu mkuu Hayo hayapo,hakuna shida toka nimejenga,kunawapangaji,na wako vizuri toka wameingia sijawahi kubadilisha wamepapenda
 
Mkuu weka picture tufanye biashara , me niko dar nipande pipa fasta Nije tumaliZe
 
wanajanvi bado iko sokoni wakuu
 
Bei tsh milion 35,iko barabara ya kuelekea shule ya msingi nyasubi, ukiwa stand chukua toyo mwanbie akulete kwa lugiko mtaa wa nyasubi fika hapo piga sim, mimi niko kazini nitakuunganisha na mpangaji utaiona bahati mbaya sina picha mpaka nikienda
Bei 25, alaf 35 mbona inapanda kama $D
 
Biashara gani bila picha, tuma mpagaji aliyepo hapo apige picha ndani na nje then uziweke hapa, biashara bila picha utapata shida sana, ni mwezi na week tangu uweke tangazo watu wanataka picha hujapata solution kisa kazi, loh
 
Back
Top Bottom