Kama mpaka Leo haujauza ! Mkuu unakigundu ! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyumba inauzwa nyegezi Bondeni, mtaa wa Nyamazobe iko njiani mkono wa kushoto ukiwa unapandisha na barabara ya kwenda shule ya msingi Nyasubi,jirani na kwa Lugiko. Ina vyumba vitatu na siting room moja, pia kiwanja chake ni double na ni kikubwa unaweza jenga nyumba kubwa kwa anaye hitaji tuwasiliane awe tayari kufika site na kuiona bei ni milion 25. Ukitoka nyegezi kona njoo na barabara ya nganza unaweza shukia bondeni baa na fuata maelekezo hapo juu. bahati mbaya niko kazini picha sina ila kuna watu ukifika nitawaunganisha akiwemo mpangaji, hati na viambata vyote vipo.. .
Nyumba inauzwa nyegezi Bondeni, mtaa wa Nyamazobe iko njiani mkono wa kushoto ukiwa unapandisha na barabara ya kwenda shule ya msingi Nyasubi,jirani na kwa Lugiko.
Ina vyumba vitatu na siting room moja, pia kiwanja chake ni double na ni kikubwa unaweza jenga nyumba kubwa kwa anaye hitaji tuwasiliane awe tayari kufika site na kuiona bei ni milion 25.
Ukitoka nyegezi kona njoo na barabara ya nganza unaweza shukia bondeni baa na fuata maelekezo hapo juu. bahati mbaya niko kazini picha sina ila kuna watu ukifika nitawaunganisha akiwemo mpangaji, hati na viambata vyote vipo.. .
Bila ya picha si kuuziana mlio?bila bei?
Mwanza nyamagana, shukia stend ya nyegezi fuata maelekezo mkuu
Tatizo umeweka bei mbili... 25m na 35m. Sasa bei ni ipi? We ni dalali?Nimeweka lakini hawaoni
Karibu mkuu Hayo hayapo,hakuna shida toka nimejenga,kunawapangaji,na wako vizuri toka wameingia sijawahi kubadilisha wamepapendaBaba D kwa nini unauza??? Nimesoma Saut hayo maeneo nayajua vizuri sana,isije kua hicho kiwanja ni gumashi...... Maana kina Kashekuli pande hizo wana case za viwanja kwa sana tu
Bei 25, alaf 35 mbona inapanda kama $DBei tsh milion 35,iko barabara ya kuelekea shule ya msingi nyasubi, ukiwa stand chukua toyo mwanbie akulete kwa lugiko mtaa wa nyasubi fika hapo piga sim, mimi niko kazini nitakuunganisha na mpangaji utaiona bahati mbaya sina picha mpaka nikienda