Nyumba Inauzwa Pwani

Nyumba Inauzwa Pwani

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,146
Reaction score
371
Nyumba ipo Pwani, Manispaa ya Kibaha, Bokotimiza (kilomita 4 toka Tumbi Hospital ina vyumba 4, iko kwenye ekali 2, umeme uko karibu sana pamoja na maji ya kuvuta,Kuna miti ya matunda kama miembe korosho na pia miti ya vivuli imepandwa pale.Bei 135mil Mawasiliano +-255755312233 or [email protected]
attachment.php
 

Attachments

  • HOUSE.JPG
    HOUSE.JPG
    791.3 KB · Views: 145
Back
Top Bottom