Nyumba kubwa inauzwa,eneo la salasala mwisho wa lami kwa wagogo,ina vyumba vitatu vya kulala,sitting room,dining na choo cha ndani,ipo kwenye eneo la ukubwa wa nusu heka.atakayefika bei tuwasiliane pm kwa ajili ya kuitazama,bei inazungumzika
Sina picha zake,ila will be available upon request
Sina picha zake,ila will be available upon request