Nyumba inauzwa Sinza Mapambano about 600 metre from Shekilango Road, ina vyumba vitatu, sebule, dining lounge na jiko! Plus uwa wa kutosha ambao una vyumba viwili vya kupangisha,bei 230m and the price is negotioable. For all interested parties please PM me

Labda ardhini kuna Uranium..Duuuuu hicho kiwanja kina nini zaidi ya hivyo ulivyotaja? This price is Too much
Kwa hiyo price ni heri kununua kiwanja na kujenga nyumba nzuri tu
hahahahahahahahaha au tanzaniteLabda ardhini kuna Uranium..