Nyumba inauzwa Sinza

Nyumba inauzwa Sinza

gobore

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2009
Posts
715
Reaction score
352
Nyumba inauzwa Sinza Mapambano about 600 metre from Shekilango Road, ina vyumba vitatu, sebule, dining lounge na jiko! Plus uwa wa kutosha ambao una vyumba viwili vya kupangisha,bei 230m and the price is negotioable. For all interested parties please PM me
 
What 230m? You must be joking!!!!! Hiyo ni pesa ya kununua kiwanja Bunju na ukasimamisha ghorofa Bwana!!!!! Please be serious!!!

Tiba
 
Duuuuu hicho kiwanja kina nini zaidi ya hivyo ulivyotaja? This price is Too much
 
Mkuu, kuna hati?

Ni eneo ambalo lina nyumba organized au ni za kienyeji?

Please toa details zaidi.
 
Kwa hiyo price ni heri kununua kiwanja na kujenga nyumba nzuri tu
 
kwa vitu ulivyovitaja hiyo ni pesa kubwa sana Mkuu
 
Nyumba inauzwa Sinza Mapambano about 600 metre from Shekilango Road, ina vyumba vitatu, sebule, dining lounge na jiko! Plus uwa wa kutosha ambao una vyumba viwili vya kupangisha,bei 230m and the price is negotioable. For all interested parties please PM me

230ml,what?mnajitajia tu bei nikienda kibamba 50m ni kiwanja na mjengo wa ukweli
 
mh! wa tz tuache ulimbukeni m230 kwa evaluation gani? kwa sababu ipo tu sinza. au chini kuna almasi? watu wanajitajia tu bei ukiziona nyumbaza sinza utachoka halafu unaambiwa m230 acheni bei za kifisadi
 
haaa haaaa ITS SO CHEAP......ahhh ongeza bei kdg bwna..mbona unauza bei ya kutupa kaka?
fanya km 400m ivi kdg ehh baba?plssssssss
 
Gobore, Hiyo nyumba itanunuliwa tu kwani pesa za epa, wasomali, Dowans, Richmond, Ticts Kagoda, meremeta, radder n.k. bado zipo mikononi mwa watu.
 
Weka picha mkuu...tuone thamani ya hiyo 230m!
 
I can't believe if the said price,is a real market price.I do agree with you that Sinza is a business centre,however the said price was definitely inflated.
 
Du hata kama hela za EPA bado ziko mtaani, lakini the price is very much on the high side......labda tuwekee picha pengine finishing yake imetumia state of the art materials.

Lakini kwa nyumba za sinza ninavyozijua nyingi sana zimechoka, element pekee katika valuation itakayoonyesha value kubwa ni land na pengine advantage ya location kwa sababu Sinza inaelekea kuwa fully Commercial area!!
 
Mkuu, kuna hati?

Ni eneo ambalo lina nyumba organized au ni za kienyeji?

Please toa details zaidi.

Yes nyumba ziko organised na kuna hati kabisa, Picha zinakuja bado nahangaika kuzi attach
 
na sinza mapambano nayo kubwa. Sema exactly wapi!
 
Back
Top Bottom