dalali jugo
Senior Member
- Dec 18, 2020
- 112
- 182
- Thread starter
-
- #21
Ipo tabata liwiti, hii hati yake haijatoka bado ipo kwenye process nimesema majirani wana hati ili kukutoa wasiwasi kuhusu eneo ambalo nyumba ipoKwanin yenyewe haina hati wakati majirani wana hati??ipo tabata gani?
Kwaiyo nkiitaka hati garama za Nani?Ipo tabata liwiti, hii hati yake haijatoka bado ipo kwenye process nimesema majirani wana hati ili kukutoa wasiwasi kuhusu eneo ambalo nyumba ipo
Juu yetu, kabla hatujafanya biashara tutajitahidi hati iwe tayariKwaiyo nkiitaka hati garama za Nani?
Nipe namba yako pmJuu yetu, kabla hatujafanya biashara tutajitahidi hati iwe tayari
Sawa mkuuNipe namba yako pm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi milioni 70 kwa elfu kumikumi ukiipima kwenye mizani inaweza toa kilo ngapi wanazengo
Kakufurahisha sn?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh, kweli madalali hawakosi majibu ya kuvutia!tofali ni 20-23 kwa mfuko
Yeah nimecheka sana ujue mi natafuta nyumba DAR ila isiwe nje ya mji bajeti 25milKakufurahisha sn?
Wala haina haja ya kubishana njoo uikague nyumba, kuna baadhi ya sehemu matofali yanaonekana unaweza kuyakagua kujiridhishaDuh, kweli madalali hawakosi majibu ya kuvutia!
Hakuna muhindi anaweza kufanya huo ujinga wa kutoa tofali 20-23 kwa mfuko na ubahili wao ulivyo
Mkuu hapahapa tabata kuna nyumba ya bajeti ya mil 25 ila yenyewe ipo tofauti kidogo sio ya kisasa kama hii, yenyewe ya kawaida snYeah nimecheka sana ujue mi natafuta nyumba DAR ila isiwe nje ya mji bajeti 25mil
Ukijibiwa hilo utauliza na ratio ya zege..nondo zilizotumika kweny renta..kama ilifungwa mkanda...Nipe ratio ya cement ya Tofali zake mkuu ikoje
Sio muhind tu..tofali zote za kununua hazina ratio hiyo..Duh, kweli madalali hawakosi majibu ya kuvutia!
Hakuna muhindi anaweza kufanya huo ujinga wa kutoa tofali 20-23 kwa mfuko na ubahili wao ulivyo
Wapo wanaofunga vipande mwisho Wa renta ila katikakati hakuna kitu.Ukijibiwa hilo utauliza na ratio ya zege..nondo zilizotumika kweny renta..kama ilifungwa mkanda...
Madalali wanatuita wateja kichefuchefu.. hehehe hatuna hela lkn wasumbufu tu
Wapo wanaolaza nondo moja tu..ukijitolea kununua nyumba jipange kwa yoteWapo wanaofunga vipande mwisho Wa renta ila katikakati hakuna kitu.