House4Sale Nyumba inauzwa Tabata

House4Sale Nyumba inauzwa Tabata

Kwanin yenyewe haina hati wakati majirani wana hati??ipo tabata gani?
Ipo tabata liwiti, hii hati yake haijatoka bado ipo kwenye process nimesema majirani wana hati ili kukutoa wasiwasi kuhusu eneo ambalo nyumba ipo
 
Duh, kweli madalali hawakosi majibu ya kuvutia!

Hakuna muhindi anaweza kufanya huo ujinga wa kutoa tofali 20-23 kwa mfuko na ubahili wao ulivyo
Wala haina haja ya kubishana njoo uikague nyumba, kuna baadhi ya sehemu matofali yanaonekana unaweza kuyakagua kujiridhisha
 
Yeah nimecheka sana ujue mi natafuta nyumba DAR ila isiwe nje ya mji bajeti 25mil
Mkuu hapahapa tabata kuna nyumba ya bajeti ya mil 25 ila yenyewe ipo tofauti kidogo sio ya kisasa kama hii, yenyewe ya kawaida sn
 
Nipe ratio ya cement ya Tofali zake mkuu ikoje
Ukijibiwa hilo utauliza na ratio ya zege..nondo zilizotumika kweny renta..kama ilifungwa mkanda...
Madalali wanatuita wateja kichefuchefu.. hehehe hatuna hela lkn wasumbufu tu
 
Back
Top Bottom