House4Sale Nyumba inauzwa Tabata

The tolerance 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
404
Reaction score
517
Asalamu alykum ndugu zangu.

Nyumba inauzwa, Ina vyumba Saba(7) vya kulala na vyoo sita, Ina uwanja mkubwa na mabanda kwa ajili ya kufugia kuku yapo.

Bei ni milioni mia na hamsini,(150000000) ila mazungumzo yapo pia. Nyumba ipo Tabata, kwa maelezo zaidi piga 0678028472.

Karibuni sana ndugu zangu.
 
Millions Mia Moja Na Hamsini (Tzs) Oops
Tumerudi Rasmi Sasa Hivi
 
Habari zenu ndugu zangu.

Nyumba inauzwa,ipo maeneo ya Tabata Segerea,Ina vyumba vya kulala Saba na vyoo sita,pia kuna mabanda ya kufugia kuku.

Eneo Lina ukubwa wa sqm 600, bei ni milioni mia na hamsini(150000000)maongezi pia yapo.
Kwa anayehitaji nigie/WhatsApp namba 0678028472.

Karibuni sana.

 
Nyumba nzuri inauzwa,ipo maeneo ya Tabata Segerea,Ina vyumba Saba na vyoo sita,pia kuna mabanda kwa ajili ya kufugia kuku,ukubwa wa eneo ni sqm 6000.
Ni nyumba nzuri kwa ajili ya upangishaji.

Bei ni tshs milioni mia na ishirini tu(120000000) maongezi pia yapo.
Kwa maelezo zaidi piga/Whatsapp 0676338052.

 
Square meter 6000 siyo kweli, labda kama umekosea kutype urekebishe.
 
Sehemu gani hapo Segerea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…