Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Ila inawezekana. Tatizo lake amepiga picha kwa uoga na tahadhari kubwa. Sijui shida ni nini! Ila eneo linaonekana ni kubwa.Square meter 6000 siyo kweli, labda kama umekosea kutype urekebishe.
Square meter 6000 ni hekari 1 na nusu bila shaka kwa vile vipimo vyetu vya kienyeji!