Ila inawezekana. Tatizo lake amepiga picha kwa uoga na tahadhari kubwa. Sijui shida ni nini! Ila eneo linaonekana ni kubwa.Square meter 6000 siyo kweli, labda kama umekosea kutype urekebishe.
Na Segerea ni potential kama haiko uswazi sana ni reasonable price you can always negotiate.Ila inawezekana. Tatizo lake amepiga picha kwa uoga na tahadhari kubwa. Sijui shida ni nini! Ila eneo linaonekana ni kubwa.
Square meter 6000 ni hekari 1 na nusu bila shaka kwa vile vipimo vyetu vya kienyeji!
Kiwanja tu cha square meter 6000 bila hata nyumba Kwa Tabata Segerea huwezi kupata Kwa bei hiyo.Ila inawezekana. Tatizo lake amepiga picha kwa uoga na tahadhari kubwa. Sijui shida ni nini! Ila eneo linaonekana ni kubwa.
Square meter 6000 ni hekari 1 na nusu bila shaka kwa vile vipimo vyetu vya kienyeji!
Ni sqm 600, samahani ni typing errorSquare meter 6000 siyo kweli, labda kama umekosea kutype urekebishe.
Yap, nyumba ninayo.We unalo hata Hilo Banda la kuku?[emoji57][emoji57]