Nyumba Inauzwa Victoria Makumbusho nyuma ya Tanzanite house na Uporoto st

radhiya

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
708
Reaction score
501
Nyumba Inauzwa.
-Iko Mita 100 kutoka kituo cha abiria Victoria.
-Iko nyuma ya Tanzanite House na barabara ya Uporoto.

Maelezo;
-Nyumba yenye Sebule, Vyumba viwili kimoja Master bedroom, public toilet, jiko na baraza na baccon, choo cha nje, chumba cha kufulia na chumba cha stoo, CCTV camera, Electric Fence na WiFi.
-Nyumba inafaa kwa ofisi, kuishi, AirBnB.

Nyumba ipo kwenye eneo la Sqm 260+.
Nyaraka: Leseni ya Makazi.
Bei: Tzs 230M.

Kwa maelezo zaidi na kuweza kuiona wasiliana nasi.
Mawasiliano: 0784 829565, 0767 833345, 0627 605807
@prathrealestate
 
Attachments

  • 5afa917e-cbd2-43d4-ad9e-cf61fa1cc78d_0_watermark.jpeg
    5afa917e-cbd2-43d4-ad9e-cf61fa1cc78d_0_watermark.jpeg
    201.8 KB · Views: 14
Nyumba Inauzwa.
-Iko Mita 100 kutoka kituo cha abiria Victoria.
-Iko nyuma ya Tanzanite House na barabara ya Uporoto.

Maelezo;
-Nyumba yenye Sebule, Vyumba viwili kimoja Master bedroom, public toilet, jiko na baraza na baccon, choo cha nje, chumba cha kufulia na chumba cha stoo, CCTV camera, Electric Fence na WiFi.
-Nyumba inafaa kwa ofisi, kuishi, AirBnB.

Nyumba ipo kwenye eneo la Sqm 260+.
Nyaraka: Leseni ya Makazi.
Bei: Tzs 230M.

Kwa maelezo zaidi na kuweza kuiona wasiliana nasi.
Mawasiliano: 0784 829565, 0767 833345, 0627 605807
@prathrealestate

View attachment 3664048
 
Kihasibu hiyo nyumba Bei ta kupangisha ni 300,000 kwa mwezi, kwa mwaka Sawa na 3.6M

Kwa Bei ya 230M itakuchukua miaka 63+ kurudisha hiyo fedha.

Kazi ni kipimo cha utu, Job is a measurement of humanity
 
😀😀😀Umenifanya nicheke hapo kwenye "job is a measurement of humanity" but why
 
Kihasibu hiyo nyumba Bei ta kupangisha ni 300,000 kwa mwezi, kwa mwaka Sawa na 3.6M

Kwa Bei ya 230M itakuchukua miaka 63+ kurudisha hiyo fedha.

Kazi ni kipimo cha utu, Job is a measurement of humanity
Ndicho hicho huwa kinawafelisha kufanya maamuzi positive.

Kuna vitu maishani, yakupasa kuvifanya bila kuingiza ujuaji wa kihasibu, ndiyo utaweza kutoboa.

Mambo kama kujenga ama kununua makazi, kujenga majego ya biashara, kununua mavazi, kununua vyakula, kutunza familia( hapo nimeinclude na mambo yote ya matumizi).

Mambo hayo pamoja na mengine ya kibinafsi kama binadamu katika maisha mtu huyafanya kwa kuunguza pesa bila kuangalia return yake.

Na si kila jambo unalolifanya kwa kutumia pesa duniani ni lazima likuzalishie faida ya kuonekana, hapo utakuwa unajidanganya.

Kuishi ndani ya nyumba kuna thamani kuliko pesa yenyewe na ndiyo maana wapangaji hutoa pesa ili waishimo.

Kwani miaka 63 hawatakuwepo vizazi vyako kuendelea kunufaika na mali ulizoziacha?

Maana kipindi cha fursa za kupata kipato na kumaintain maisha ya kiuwekezaji na kuhodhi mali ni kifupi mno na kinapita haraka.

Kwa hiyo ni lazima uwe mtu wa kuchukua maamuzi magumu haraka ndiyo utaweza kutoboa.

usipoangalia waweza kukumbwa na uzee ukiwa bado fukara uliyejaa mawazo yenye formula za kiuwekezaji wa kuzalisha faida kwa kila jambo unalolifanya maishani mwako.

Utaculculate hadi matonge unayobugia, utamhesabia mkeo idadi ya finyango za nyama za kupika.

Utabania hadi idadi ya mabao ya kufunga ukiwa kitandani, eti ni matumizi mabaya ya nguvu zako za kiume.

Endelea kupiga hesabu za namna hiyo huku wenzako wakinunua na kuboreshaa maisha yao.
 
Kihasibu hiyo nyumba Bei ta kupangisha ni 300,000 kwa mwezi, kwa mwaka Sawa na 3.6M

Kwa Bei ya 230M itakuchukua miaka 63+ kurudisha hiyo fedha.

Kazi ni kipimo cha utu, Job is a measurement of humanity
Nyumba huwa hazirudishi hela uliyowekeza
 
Kihasibu hiyo nyumba Bei ta kupangisha ni 300,000 kwa mwezi, kwa mwaka Sawa na 3.6M

Kwa Bei ya 230M itakuchukua miaka 63+ kurudisha hiyo fedha.

Kazi ni kipimo cha utu, Job is a measurement of humanity
Valuation ya kiduanzi!😁😁😂😂
 
Back
Top Bottom