Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana anauza uwanja. Maeneo kama hayo sio rahisi kupata uwanja ulio wazi.Sifa pekee ya hiyo nyumba ni kwamba gari inafika, na hiyo picha uliyopiga inaashiria hiyo ndo best part ya hiyo nyumba
Hizihizi hela za Tanzania?Nyumba inauzwa ipo maeneo ya ubungo maji gari inafika bei in 120,000,000/=
dfebad961.jpg[/IMG]![]()
Mawasiliano ni 0717698975 0756417990 au 0693300450
madalali bado wako kwenye denial. hawaamini kwamba hali ni ngumu,Hizihizi hela za Tanzania?
Kweli madalali bado hamjamuelewa Magufuli