Nyumba ya vyumba vitatu,
a) Master bedroom na viwili vya kawaida.
b) Sitting Room na dinning room.
c) Ina choo cha ndanibkwa ajili ya hizo room mbili kukiwa na corridor moja.
d) Ukubwa wa eneo kwa nje ni 22x25 ina sehemu kubwa kwa ajili ya car parking etc
nyumba inahitaji kufanyiwa finishing ya mwisho.
MAHALI ILIPO:
Ward: Tegeta/Boko
Wilaya: Kinondoni/Dar Es Salaam
Umbali kutoka barabarani kuu ya bagamoyo 120meters.
Mnunuzi nicheki PM uongee na mwenye mali (no dalali)
Acha kuharibu biashara za watu,ingekua boko yote wakati wa mvua mafuriko yana waumiza hakuna ambaye angekaa ukoBoko kipind cha mvua ni mwendo wa mafuriko tu..
Yaani mtu anatangaza biashara alafu anaificha, hata bei haweki. Kwakweli mimi matangazo kama haya huwa nayahusisha na matapeli moja kwa moja.Elimu ya kutangaza biashara zenu wengi imewapita kushoto aisee
Ukienda yard kila gari unauliza bei, we vipi?Yaani mtu anatangaza biashara alafu anaificha, hata bei haweki. Kwakweli mimi matangazo kama haya huwa nayahusisha na matapeli moja kwa moja.