House4Sale Nyumba Inauzwa

House4Sale Nyumba Inauzwa

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Nyumba ya vyumba vitatu,
a) Master bedroom na viwili vya kawaida.
b) Sitting Room na dinning room.
c) Ina choo cha ndanibkwa ajili ya hizo room mbili kukiwa na corridor moja.
d) Ukubwa wa eneo kwa nje ni 22x25 ina sehemu kubwa kwa ajili ya car parking etc

nyumba inahitaji kufanyiwa finishing ya mwisho.

MAHALI ILIPO:
Ward: Tegeta/Boko
Wilaya: Kinondoni/Dar Es Salaam
Umbali kutoka barabarani kuu ya bagamoyo 120meters.

Mnunuzi nicheki PM uongee na mwenye mali (no dalali)
 
Ndio hiyo kwenye picha?mbona kama ina ufa upande wa kushoto mdau
 
Elimu ya kutangaza biashara zenu wengi imewapita kushoto aisee
Yaani mtu anatangaza biashara alafu anaificha, hata bei haweki. Kwakweli mimi matangazo kama haya huwa nayahusisha na matapeli moja kwa moja.
 
Siyo supermarket asee au kila muuzaji wa nyumba aweke bei, mnunuzi hajali iko kitu.
Yaani mtu anatangaza biashara alafu anaificha, hata bei haweki. Kwakweli mimi matangazo kama haya huwa nayahusisha na matapeli moja kwa moja.
Ukienda yard kila gari unauliza bei, we vipi?
 
Back
Top Bottom