Nyumba inauzwa...

Nyumba inauzwa...

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
443
Reaction score
18
Wadau, kuna nyumba inauzwa mbagala kuu n iko kwenye hali nzuri. Bei maelewano.
 
Aisee, tena utani wa haja kama c kweli... Maana huko ni pakupakimbia kwa sasa.
 
Huko ndio pa kununua nyumba saa hizi, maana bei zitakuwa chini ...

lol
 
masihara hayo jamani.........watz tuna matusi sana,badala ya kusikitika watu wanakufa we unashangilia na kutangaza nyumba inauzwa!........
 
masihara hayo jamani.........watz tuna matusi sana,badala ya kusikitika watu wanakufa we unashangilia na kutangaza nyumba inauzwa!........

Aah! ss una maana hana haki ya kuuza nyumba yake hata kama hali ya kule ni tete kwa sasa? Au unamaana aitoe bure?
 
Twendeni tukawekeze huko, hali ikitengamaa watatutamani. Mbona Italy iliamua kujichukulia jangwa, hivi sasa kama wangekuwepo wangekuwa wanafaidi mafuta, teheteheteheteheteh
 
huko somalia babu, tena no smoking, unaweza ukawa unakojoa kichakan usik, unadetoneti bomu! ukichoma takataka tu kitu!
 
Du!!!!!!!!

Utani bro!!!

Juzi juzi nilisikia watoto chalii!!

sasa leo unauza nyumba!!!

lakini nakubaliana na wewe labda laki tuwili!!

ukapangishe maana hata bei yake ni ya chumba ni Tshs 3000/= kwa mwezi.

Lete picha Bro!!! uthaminishe!!
 
Back
Top Bottom